NSSF Yadhamini Siku ya Madansa Duniani

Ofisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Kimaro, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya madansa duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na NSSF.  (Na Mpiga Picha Wetu)

Ofisa Uhusiano wa NSSF, Faides Mdee, akigawa vipeperushi kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda lao katika uzinduzi wa siku ya madansa duniani uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe jijini Dares Salaam, mwishoni mwa wiki. Uzinduzi huo ulidhaminiwa na NSSF.

Ofisa uandikishaji NSSF, Amina Kisawaga (kulia) akitoa maelezo kwa mteja alietembelea banda lao Fumbwe Juma, katika uzinduzi wa siku ya madansa duniani uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Dar es Salaam na kudhaminiwa na NSSF.

Ofisa wa NSSF, Innocent Shao, (kulia) akiwaandikisha baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na NSSF walipotembelea banda la NSSF katika uzinduzi wa siku ya madansa duniani iliyoadhimishwa kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe na kudhaminiwa na NSSF.