NSSF watwaa ushindi wa jumla maonesho ya Saba Saba

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ramadhan Dau akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa NSSF, wakifurahia kwa pamoja na tuzo yao mara baada ya kukabidhiwa na Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal.

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ramadha Dau, akifurahia tuzo yake baada ya kukabidhiwa.