NSSF Washinda Ushindi wa Jumla Maonesho ya Sabasaba 2013

Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza na wanahabari katika banda la NSSF ndani ya Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba mara baada ya kutangazwa washindi. NSSF wametwaa ushindi wa jumla wa maonesho ya Sabasaba 2013 na washindi wa kwanza kwa taasisi za fedha katika maonesho hayo.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakipiga picha na vikombe viwili walivyoshinda kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara leo maarufu kama Sabasaba. NSSF wametwaa ushindi wa jumla wa maonesho ya Sabasaba 2013 na washindi wa kwanza kwa taasisi za fedha katika maonesho hayo.

Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza na wanahabari katika banda la NSSF ndani ya Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba.

Mmoja wa wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kulia akimsikiliza mteja katika banda la NSSF ndani ya Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba.

Mmoja wa wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kulia akimsikiliza mteja katika banda la NSSF ndani ya Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba.

Huduma kwa wateja ndani ya banda la NSSF kwenye viwanja vya Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba leo.