NMB Yawajaza Mapesa Washindi wa Pata Patia Maonesho ya Sabasaba

Meneja wa banda la Benki ya NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa, Josephiner Kulwa (wa tatu kulia) akitoa maelekezo kwa washindi wa droo ya pata patia kabla ya kuzungusha gurudumu la mchezo huo na kujishindia fedha wiwango tofauti viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere 'Sabasaba' jijini Dar es Salaam.

Meneja wa banda la Benki ya NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa, Josephiner Kulwa (wa tatu kulia) akitoa maelekezo kwa washindi wa droo ya pata patia kabla ya kuzungusha gurudumu la mchezo huo na kujishindia fedha wiwango tofauti viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere ‘Sabasaba’ jijini Dar es Salaam.

Ofisa Bidhaa wa Benki ya NMB, Hezbon Mpate (kushoto) akimkabidhi zawadi mshindi wa shilingi milioni moja (1,000,000/-) katika droo ya Pata Patia, Anitha Gabriel Ngaswaga ndani ya Banda la NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' yanayofanyika jijini Dar es Salaam.

Ofisa Bidhaa wa Benki ya NMB, Hezbon Mpate (kushoto) akimkabidhi zawadi mshindi wa shilingi milioni moja (1,000,000/-) katika droo ya Pata Patia, Anitha Gabriel Ngaswaga ndani ya Banda la NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ yanayofanyika jijini Dar es Salaam.

Kutoka kushoto ni Anitha Gabriel Ngaswaga aliyejishindia shilingi milioni moja (1,000,000/-), Jenipher Kulaya mkazi wa Kibiti aliyenyakuwa shilingi laki nne (400,000/-) na Jorabam Nelson aliyebahatika kushinda fedha kiasi cha shilingi milioni mbili (200,000/-) wakipiga picha ya kumbukumbu na zawadi za flana walizopewa na Banda la NMB Sabasaba mara baada ya kukabidhiwa fedha zao za ushindi.

Ofisa Bidhaa wa Benki ya NMB, Hezbon Mpate (katikati) akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari kufafanua namna washindi wa droo ya pata patia walivyopatikana na kujishindia zawadi zao baada ya kuzungusha gurudumu la bahati katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.

Jenipher Kulaya (katikati) mkazi wa Kibiti aliyejishindia shilingi laki nne (400,000/-) akizungusha gurudumu la bahati katika mchezo wa Pata Patia kwenye Banda la NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' yanayofanyika jijini Dar es Salaam.

Jenipher Kulaya (katikati) mkazi wa Kibiti aliyejishindia shilingi laki nne (400,000/-) akizungusha gurudumu la bahati katika mchezo wa Pata Patia kwenye Banda la NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ yanayofanyika jijini Dar es Salaam.

Jorabam Nelson aliyebahatika kushinda fedha kiasi cha shilingi milioni mbili (200,000/-) akizungusha gurudumu la bahati katika mchezo wa Pata Patia kwenye Banda la NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' yanayofanyika jijini Dar es Salaam.

Jorabam Nelson aliyebahatika kushinda fedha kiasi cha shilingi milioni mbili (200,000/-) akizungusha gurudumu la bahati katika mchezo wa Pata Patia kwenye Banda la NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ yanayofanyika jijini Dar es Salaam.

Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kulia) akimpatia maelezo mmoja wa waandishi wa habari waliotembelea Banda la Benki ya NMB kwenye Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa.

Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Vicent Mnyanyika (kulia) akimpatia maelezo mmoja wa waandishi wa habari waliotembelea Banda la Benki ya NMB kwenye Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa.

BENKI ya NMB imetangaza washindi wa droo nyingine ya mchezo wa bahati nasibu wa Pata Patia na kuwajaza mpesa washindi watatu wa mchezo huo katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere eneo la Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Zoezi la kuwakabidhi zawadi hizo lililofanyika ndani ya Banda la NMB ‘Sabasaba’ liliongozwa na Meneja wa Banda la NMB, katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2016, Josephiner Kulwa.

Walioshinda katika droo hiyo ni pamoja na Anitha Gabriel Ngaswaga aliyejishindia shilingi milioni moja (1,000,000/-), Jenipher Kulaya mkazi wa Kibiti aliyenyakuwa shilingi laki nne (400,000/-) na Jorabam Nelson aliyebahatika kushinda fedha kiasi cha shilingi milioni mbili (200,000/-). Wateja hao waliopatikana katika matawi mbalimbali walizungusha gurudumu la bahati la mchezo wa Pata Patia unaoendeshwa na NMB na kujishindia kiasi hicho cha fedha.