NMB Yatoa Milioni 40 Kudhamini Mashindano ya Golf ya Mkuu wa Majeshi

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo na Wakati wa Beni ya NMB, Boma Raballa (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Klabu ya Mchezo wa Gofu ya Lugalo, Brigedia Jenerali Michael Luwongo (katikati) mfano wa hudi ya shilingi milioni 40 ikiwa ni fedha za udhamini wa mchezo huo kwa klabu hiyo.

Viongozi wa Klabu ya Mchezo wa Gofu ya Lugalo na NMB wakipiga picha ya pamoja mara baada ya makabidhiano ya mfano wa hudi ya shilingi milioni 40 ikiwa ni fedha za udhamini wa mchezo huo kwa klabu hiyo. Benki ya NMB imetoa kiasi cha shilingi milioni 40 ikiwa ni fedha za udhamini wa Klabu ya Gofu ya Lugalo.

Mwenyekiti wa Klabu ya Mchezo wa Gofu ya Lugalo, Brigedia Jenerali Michael Luwongo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya makabidhiano ya mfano wa hudi ya shilingi milioni 40 ikiwa ni fedha za udhamini wa mchezo huo wa gofu unaoshirikisha mashindano mbalimbali. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo na Wakati wa Beni ya NMB, Boma Raballa na Kapteni wa Klabu ya Gofu ya Lugalo, Japhet Masai (kulia).

Kapteni wa Klabu ya Gofu ya Lugalo, Japhet Masai (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya makabidhiano ya mfano wa hudi ya shilingi milioni 40 ikiwa ni fedha za udhamini wa mchezo huo wa gofu unaoshirikisha mashindano mbalimbali.