Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya Shilingi milioni 100 kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Habraham Shamumoyo (kushoto) leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mshauri wa Mawasiliano-ALAT, Seif Hassan. Kushoto ni Mshauri wa Mawasiliano-ALAT, Seif Hassan akishuhudia tukio hilo. Benki ya NMB imedhamini mkutano mkuu wa uchaguzi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaotarajia kufanyika Aprili 7 hadi 9, 2016 mkoani Dodoma.
Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya Shilingi milioni 100 kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Habraham Shamumoyo (kushoto) leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mshauri wa Mawasiliano-ALAT, Seif Hassan. Benki ya NMB imedhamini mkutano mkuu wa uchaguzi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaotarajia kufanyika Aprili 7 hadi 9, 2016 mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Habraham Shamumoyo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam juu ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa ALAT pamoja na tukio la kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 na Banki ya NMB iliyodhamini mkutano huo. Kulia ni Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Richard Makungwa.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Habraham Shamumoyo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam juu ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa ALAT pamoja na tukio la kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 na Banki ya NMB iliyodhamini mkutano huo. Kulia ni Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Richard Makungwa na Kushoto ni Mshauri wa Mawasiliano-ALAT, Seif Hassan.