NMB Yafanya Mkutano Mkuu wa Wanahisa Jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Benki ya NMB, Prof Joseph Semboja akiongoza Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa 16 wa benki hiyo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ineke Bussemarker (kulia), akizungumza katika mkutano mkuu wa 16 wa wanahisa wa benki hiyo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ineke Bussemarker (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa 16 wa wanahisa wa benki hiyo. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo, Waziri Barnabas.

Msajili wa Hazina, Laurence Nyasebwa Mafuru akichangia mawazo katika mkutano mkuu wa 16 wa wanahisa wa benki ya NMB.

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ineke Bussemarker (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam
jana baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa 16 wa benki hiyo. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo, Waziri Barnabas.
 Ofisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo, Waziri Barnabas (kulia), akizungumza na
wanahabari.
 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.