NMB Yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja…!

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akibadilishana mawazo na mmoja wa wateja wa NMB Tawi la Msasani waliohudhuria hafla fupi ya uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwenye tawi la NMB Msasani leo jijini Dar es Salaam.

Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akisalimiana na mmoja wa wateja wa NMB Tawi la Msasani mara baada ya hafla ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwenye tawi hilo leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akisalimiana na mmoja wa wateja wa NMB Tawi la Msasani mara baada ya hafla ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwenye tawi hilo leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Bi. Ineke Bussemaker akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwenye tawi la NMB Msasani jijini Dar es Salaam.

<strong>MKURUGENZI</strong> Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker leo ameadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kukutana na baadhi ya wateja wa Tawi la NMB Msasani huku akisikiliza maoni ya wateja katika hafla iliyoambatana na kunywa pamoja chai na wateja hao pamoja na wageni wengine waliohudhuria shughuli hiyo.

Alisema katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja ambayo imefanyika pia katika matawi yote ya Benki hiyo maofisa wa benki hiyo wamekaa pamoja na wateja wao na kupokea maoni yao pamoja na kubadilishana mawazo kadha wa kadha.

Tukio la wiki ya huduma kwa wateja la NMB Benki ya Msasani limeambatana na kumzawadia mfanyakazi bora ambaye amekuwa akifanya vizuri katika kutoa huduma ndani ya kipindi cha takribani mwaka mzima. Kila wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ni wiki ya huduma kwa wateja duniani hivyo benki hiyo kuitumia kwa kujumuika na wateja wake.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa wageni waalikwa na wateja wa NMB Tawi la Msasani waliohudhuria hafla fupi ya uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja tawi la NMB Msasani leo jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Tawi la NMB Msasani, Hellen Mapunda (kulia) akibadilishana mawazo na mmoja wa wateja wa NMB Tawi la Msasani mara baada ya hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwenye tawi hilo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB (katikati) wakizungumza na wateja wa.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB (katikati) wakizungumza na wateja wa benki hiyo.

Meneja wa Tawi la NMB Msasani, Hellen Mapunda (kulia) akibadilishana mawazo na mmoja wa wateja wa NMB Tawi la Msasani mara baada ya hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwenye tawi hilo.

Meneja wa Tawi la NMB Msasani, Hellen Mapunda (kulia) akibadilishana mawazo na mmoja wa wateja wa NMB Tawi la Msasani mara baada ya hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwenye tawi hilo.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwenye tawi la NMB Msasani leo jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa wateja wa NMB Tawi la Msasani akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwenye tawi hilo.

Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi tuzo mfanyakazi bora ambaye amekuwa akifanya vizuri katika kutoa huduma ndani ya kipindi cha takribani mwaka mzima kwenye tawi hilo, Godliver Mwendo (kulia). Katikati ni Meneja wa Tawi la NMB Msasani, Hellen Mapunda akishuhudia.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi tuzo mfanyakazi bora ambaye amekuwa akifanya vizuri katika kutoa huduma ndani ya kipindi cha takribani mwaka mzima kwenye tawi hilo, Godliver Mwendo (kulia). Katikati ni Meneja wa Tawi la NMB Msasani, Hellen Mapunda akishuhudia.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (katikati waliokaa), Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia walio kaa) na Meneja wa Tawi la NMB Msasani, Hellen Mapunda (kushoto walio kaa) wakipiga picha ya ukumbusho na wafanyakazi wa NMB tawi la Msasani mara baada ya hafla fupi ya uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwenye tawi la NMB Msasani leo jijini Dar es Salaam.