NMB Kupitia Wajibu Programu Waingia Ubia na Shule Direct

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Peter Mavunde akizungumza katika hafla ya Benki ya NMB kuingia ushirikiano na taasisi ya Shule Direct kupitia programu yake ya Wajibu kutoa elimu ya matumizi ya fedha kwa mtandao. Kupitia mpango huo NMB imeingiza elimu ya nidhamu ya matumizi ya fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi ya msingi kwa wanafunzi kwenye mtandao ili waweze kunufaika nayo.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Peter Mavunde (watatu kushoto) akizinduwa ushirikiano kati ya Benki ya NMB na taasisi ya Shule Direct kupitia programu ya Wajibu kutoa elimu ya matumizi ya fedha kwa mtandao. NMB kupitia mpango huo NMB imeingiza elimu ya nidhamu ya matumizi ya fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi ya msingi kwa wanafunzi kwenye mtandao ili waweze kunufaika nayo. Wengine ni viongozi anuai kutoka NMB na Shule Direct pamoja na Sekondari ya Benjamini Mkapa wakishuhudia.

Kaimu Meneja Mwandamizi wa Amana, Huduma za Ziada na Bima wa Benki ya NMB, Stephen Adili akizungumza katika hafla ya kuingia ushirikiano kati ya Benki ya NMB kupitia programu yake ya Wajibu na taasisi ya Shule Direct. Kupitia mpango huo NMB imeingiza elimu ya nidhamu ya matumizi ya fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi ya msingi kwa wanafunzi kwenye mtandao ili wanafunzi waweze kunufaika nayo.

Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu akizungumza katika hafla ya kuingia ushirikiano kati ya taasisi hiyo na Benki ya NMB kupitia programu yake ya Wajibu. Kupitia mpango huo NMB imeingiza elimu ya nidhamu ya matumizi ya fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi ya msingi kwa wanafunzi kwenye mtandao ili wanafunzi waweze kunufaika nayo.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Benjamini Mkapa, Gebo Lugano (kulia) akitoa zawadi kutoka Benki ya NMB kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika kujibu maswali kwenye programu hiyo.

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamini Mkapa wakiwa katika hafla hiyo. Kupitia mpango huo NMB imeingiza elimu ya nidhamu ya matumizi ya fedha na kujiwekea akiba kwa matumizi ya msingi kwa wanafunzi kwenye mtandao ili wanafunzi waweze kunufaika nayo.

Baadhi ya viongozi na wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo.

Meza kuu katika hafla hiyo ikitembelea darasa la kompyuta linalotumiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamini Mkapa kupata elimu kwa mtandao.

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamini Mkapa wakifunguliwa akaunti katika hafla hiyo. Miongoni mwa akaunti zinazowavutia wanafunzi ni NMB Chipukizi Akaunti na NMB Mwanachuo Akaunti.