Ngorongoro Marathon Kufanyika Aprili 18 Arusha

Mratibu wa mbio za Ngorongoro Marathon Meta Peter akizungumzuia wanariadha wa Tanzania ambao wanartarajia kushiriki Mbio hizo huku akisema mbio za mwaka huu.

Mratibu wa mbio za Ngorongoro Marathon Meta Peter
akizungumzuia wanariadha wa Tanzania ambao wanartarajia kushiriki Mbio
hizo huku akisema mbio za mwaka huu.

Waandaaji wa mbio za kimataifa za Ngorongoro Maratahoni katika
mkutano na wanahabari kuzungumzia maandalizi ya mwisho ya mbio hizo
zinazotarajia kufanyika Aprili 18 mwaka huu ,Karatu mkoani
Arusha.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania Adventure na Zara Charity,Zainab
Ansel akizungumza na wanahabari kuhusu maandalizi ya mbio hizo ambazo
zinadhaminiwa na Shirika lisilo la kiserikali la Zara Charity
.
Mratibu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni Meta Peter
akizungumzuia wanariadha wa Tanzania ambao wanartarajia kushiriki Mbio
hizo huku akisema mbio za mwaka huu zitashirikisha wanariadha
walioshiriki mbio za dunia za Nyika mwaka huu watakao toana jasho na
wakimbiaji kutoka nchini Kenya,Uganda na Malawi.
Muongozaji wa Mbio hizo kutoka kampuni ya Zara Tour ,Frances
Kilawe akizungumza historia ya Mbio hizo.
Mwakilishi wa shirika lisilo la kiserikali la Zara Charity
Datus Mmary akizungumzia lengo la mbo hizo ambao awali ilikuwa ni
kuchangia katika kutokomeza Marelia na mbio za mwaka huu zitakuwa ni
kwa ajili ya kuchangia elimu hasa kwa watoto wa jamii ya
wafugaji.
Mwakilishi wa kampuni ya Bonite Bottlers ,Leonard Makule
akizungumzia juu ya udhamini wa kampuni hiyo katika mbio za kimataifa
za Ngorongoro Marathoni 2015.