Klabu ya Newcastle imeendeleza matumaini yake ya kusalia katika ligi kuu ya Uingereza kufuatia bao la Andros Townsend na penalti iliopanguliwa na kipa wa klabu hiyo dhidi ya Crystal palace.
Matokeo ya Leo Jumamosi
Arsenal 1:0 Norwich City
West Bromwich Albion 0:3 West Ham United
Watford 3:2 Aston Villa
Everton 2:1 AFC Bournemouth
Newcastle United 1:0 Crystal Palace
Stoke City 1:1 Sunderland