Ndani ya Banda la Wizara ya Nishati na Madini Saba Saba


Kushoto ni baadhi ya wataalamu wa Wizara ya Nishati na Madini wakiwaelezea masuala mbalimbali wananchi waliotembelea banda la wizara hiyo Saba Saba jana.


Kulia ni baadhi ya wananchi waliotembelea banda la Nishati na Madini kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa ya Saba Saba yanayoendelea jijini Dar es Salaam wakipewa maelezo anuai katika banda hilo.