Ndani ya banda la Sasatel


Muonekano wa banda la Sasatel ndani ya viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Saba Saba.


Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Sasatel akitoa huduma kwa baadhi ya wateja waliotembelea banda la kampuni hiyo kujua shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na Sasatel katika viwanja vya Saba Saba jana Dar es Salaam.


Mmoja wa wafanyakazi wa Sasatel Perry Mwankemwa akiendelea na kazi ndani ya banda lao Saba Saba jana.