Mbunge Joshua Nassari akiwaoesha wanachi magari mawili ya kubebea wagonjwa aliyotoa kusaidia wakazi wa jimbo la Arumeru Mashariki.
 |
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wananchi katika kata ya Maruanga . |
 |
Baadhi ya wananchi katika kata ya Maruanga wakimshangilia Nassari ,(hayuko pichani) |
 |
Nassari akiwaapisha wananchi katika kata ya Maruanga huku akiwataka kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. |
|
Mbunge Joshua Nassari akiwaoesha wanachi magari mawili ya kubebea wagonjwa aliyotoa kusaidia wakazi wa jimbo la Arumeru Mashariki.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |