![8. Mweyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya akimkaribisha Nape](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/8.-Mweyekiti-wa-CCM-mkoa-wa-Mbeya-akimkaribisha-Nape.jpg)
Mwenyekiti mpya wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengerema akimkaribisha nape kuzungumza kwenye mahafali hayo. Kulia ni Mwenyekiti wa Tawi la CCM Chuo Kikuu cha TEKU Boniface Paulo
![5.Wana-CCM tawi la TEKU wakimzawadia picha Nape](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/5.Wana-CCM-tawi-la-TEKU-wakimzawadia-picha-Nape.jpg)
Nape akiifurahia picha yake baada ya kuzawadiwa na wanachuo hao.
![3. Nape akimpa kadi ya CCM Aranora Msigwa. Kushoto ni mkt wa CCM Mbeya Maganga Sengerema(1)](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/3.-Nape-akimpa-kadi-ya-CCM-Aranora-Msigwa.-Kushoto-ni-mkt-wa-CCM-Mbeya-Maganga-Sengerema1.jpg)
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati akihutubia wanachama wa CCM, tawi la Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) Mbeya, katika mahafali ya kuwaaga, leo Juni 25, 2012, katika hoteli ya paradise mjini Mbeya.
![4. Nape akishiriki kucheza 'Kwaito' na wahitimu](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/4.-Nape-akishiriki-kucheza-Kwaito-na-wahitimu.jpg)
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye akishiriki kucheza muziki wa mtindo wa ‘Kwaito’ wakati wa sherehe za mahafali ya wana-CCM tawi ala Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji(TEKU) katika hoteli ya Paradise mjini Mbeya leo June 25.