NANI BADO HAJAENDA KUMUONA ‘BABU’ LOLIONDO?

 

Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile akimpa dawa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) William Lukuvi na Rosemary Nyerere baada ya Lukuvi kumaliza kuukagua mti unaozalisha dawa hiyo. Lukuvi alitua Loliondo mwishoni mwa wiki iliyopita.

Baadhi ya wananchi waliofika nyumbani kwa Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile kunywa dawa  wakiagana na Mchungaji na kumtakia kheri baada ya kupata kikombe.Kulia kwa Mchungaji ni Balozi Paul Rupia.