Namaingo na Uzinduzi Mradi Mkubwa Ufugaji Kuku Kijiji cha Miteja Kilwa

Vifaranga vya mbegu ya kuku wa kienyeji vinavyofugwa kisasa katika mradi wa Ufugaji kwa wanachama 3,000 wa Kampuni ya Namaingo Business Agency Limited, unaotekelezwa katika Kijiji cha Miteja, Wilaya ya Kilwa.

Vifaranga vya mbegu ya kuku wa kienyeji vinavyofugwa kisasa katika mradi wa Ufugaji kwa wanachama 3,000 wa Kampuni ya Namaingo Business Agency Limited, unaotekelezwa katika Kijiji cha Miteja, Wilaya ya Kilwa.

 

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Abuu Mjaka akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Namaingo Business Agency Limited, Bi. Ubwa Ibrahim baada ya kuzindua Mradi wa Ufugaji  Kuku kwa wanachama 3000 wa kampuni hiyo kutoka mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma katika hafla iliyofanyika Kijiji cha Miteja, wilayani humo juzi.

 

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Abuu Mjaka akifungua mlango katika banda la vifaranga vya mbegu vya mradi huo

 

Mpiga Picha wa Gazeti la Tanzania Daima,  Said Powa ambaye aliliwakilisha kundi la Wananchama Wanahabari akipokea cheti cha usajili kutoka kwa  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Mjaka wakati wa hafla hiyo

 

Kundi la Wanahabari la Kwanza One likishangilia kwa furaha baada ya kukabidhiwa cheti cha kuwa miongoni mwa wanachama watakaoshiriki kwenye mradi huo

 Mbegu za mazao zilizooteshwa kwa ajili ya kulisha kuku

 

 

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ufugaji Kuu ya Shitindi Poutry Farm, Shitindi (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi, ambapo aliahidi kununua mayai ya wanachama wa ufugaji wa kuku wa Namaingo.

 

 

 Ni burudani kwa kwenda mbele

Mtalaamu wa ufugaji kuku wa kienyeji akielezea jinsi mfugaji anavyoweza kuzalisha majani ya malisho kwa kutumia mazao mbalimbali.

 

 

 Mkurugenzi Mtendaji wa Namaingo, Ubwa Ibrahim akizungumza wakati wa hafla hiyo.

 

 Sehemu ya umati uliohudhuria hafla hiyo

 

 Mjaka akihutubia wakati wa hafla hiyo

 

 Baadhi ya Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba

 Moja ya mabanda ya kuku yaliyoandaliwa kwa ajili ya ufugaji

Wanachama wakifurahia baada ya kukabidhiwa cheti cha usajiri wa Biashara cha Brela

 

 

 

Mwenyekiti wa Namaingo Mkoa wa Ruvuma akipokea cheti cha Brela

 

Dk. Hassan Kijaki Mtaalalamu wa Mifugo wa Mkoa wa Lindi akielezea kufurahishwa na kitendo cha Namaingo kuwekeza mradi wa kuku mkoani humo.

 

Mchumi wa Mkoa wa John Mwalongo akihutubia wakati wa hafla hiyo

Bi. Ubwa na Mjaka wakikagua bidhaa mbalimbali za wajasiriamali kwa njia ya kisasa

 

 Magari mbalimbali yaliyowaleta wanachama katika uzinduzi huo.