Namaingo Business Agency, NHIF Wawakutanisha Wajasiriamali Tanga

Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahim akisisitiza jambo alipokuwa akiwasilisha mada kwenye mkutano uliowakutanisha wajasiriamali uliokuwa na lengo la kuhalalisha biashara zao na pia kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya.

MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali  na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness Agency uliokuwa na lengo la
kuwahamasisha kujiunga na bima ya Afya na kuhalalisha biashara zao.
 
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali  na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness Agency uliokuwa na lengo la kuwahamasisha kujiunga na bima ya Afya na kuhalalisha biashara zao.

 

Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Bi Ubwa Ibrahima akitoa
ufafanuzi wa masuala mbalimbali wa wafanyabiashara na wajasiamali mkoani
Tanga.
 

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Miraji Kisile akifafanua namna ya wajasiriamali na wafanyabiashara wanavyoweza kunufaika na huduma mbalimbali ikiwemo za matibabu kupitia mfuko huo ikiwemo kufanya biashara zinazotambulika kisheria ili kuisaidia serikali kupata mapato.

 

 Baadhi ya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali mkoani Tanga wakifuatilia mkutano huo.

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga(NHIF) Miraji Kisile akimsikiliza kwa umakini mmoja wa wafanyabishara waliojitokeza kwenye mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Police Mess mkoani Tanga.

 

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Miraji Kisile akisistiza jambo katika mkutano huo kwa baadhi ya wafanyabiashara namna wanayoweza kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya kwa ajili ya kupata matibabu.

Baadhi ya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali mkoani Tanga wakifuatilia mkutano huo.

 

Baadhi ya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali mkoani Tanga wakifuatilia mkutano huo Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.