Naibu Waziri Ujenzi Akagua Ujenzi wa Barabara Dar

Sehemu ya barabara ya Yombo Vituka ambayo ujenzi wake umekamilika yenye urefu wa kilometa 10.3 inayojengwa na kampuni ya Nyanza Roads Work jijini Dar es Salaam. Picha na Aron Msigwa – MAELEZO

Mkandarasi anayejenga barabara ya Jangwani, Kigogo kuelekea kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha ubungo Mhandisi Abdul Kimaro (katikati) akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ujenzi Gerson Lwenge juu ya maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo na changamoto zinazokwamisha kukamilika kwa muda uliopangwa. Picha na Aron Msigwa –MAELEZO