
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha (kushoto) akikagua ghala la mbegu bora zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora.
![]() |
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha akizungumza jambo baada ya kukagua ghala la mbegu bora za kampuni ya Monsanto zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora |
![]() |
Meneja Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato Tanzania, Frank Wenga akieleza mipango kamambe ya kuwafikishia mbegu bora wakulima kote nchini. |
![]() |
Wageni mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa ofisi ya Monsanto Tanzania. |
![]() |
Meneja Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato Tanzania, Frank Wenga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari . |