
Baadhi ya waombolezaji wakishiriki mazishi ya baba wa msanii mkongwe, Ebby Sykes yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akiweka udongo katika kaburi la msanii mkongwe mzee Ebby Sykes. (Picha zote na Francis Dande)

Umati wa waombolezaji ukiwa katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam wakati wa mazishi ya baba yake mzazi ambaye pia ni msanii mkongwe mzee Ebby Sykes.