Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kulia) akifanya mahojiano na baadhi ya wanahabari ndani ya Banda la Wizara ya Fedha alipotembelea banda hilo jana. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Ramadhani Khijjah.