Mwenyekiti Mpya Bodi ya TTCL Atembelea Miundombinu ya Kampuni

Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Prof. Tolly Mbwette (Kushoto mwenye mkoba) akipata maelezo kuhusu kituo cha kuhifadhia kumbukumbu za Mawasiliano kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura (Mwenye Tshirt ya njano), wakati wa ziara yake ya kutembelea miundombinu ya TTCL.

Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL. Prof. Tolly Mbwette akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa TTCL wakati wa ziara yake.

Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Prof. Tolly Mbwette (watatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wa TTCL baada ya ziara yake kutembelea miundombinu ya TTCL.

MWENYEKITI mpya wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL Prof. Tolly Mbwette, ametembelea miundombinu mbalimbali ya Kampuni ya simu Tanzania katika ziara yake ya kwanza ya kuifahamu vyema kampuni hiyo mara baada ya kuteuliwa kuiongoza bodi hiyo.

Katika salamu zake kwa Menejimenti na Wafanyakazi, Prof Mbwette amewataka kuongeza juhudi katika kufanya kazi kwa ufanisi ili kwenda na kasi ya Serikali ya awamu ya tano sambamba na mabadiliko makubwa ya teknolojia katika Sekta ya Mawasiliano ulimwenguni.

Ziara hiyo imemwezesha kutembelea kituo cha Kimataifa cha Mawasiliano ya Intanent (IP PoP) kilichopo Kijitonyama Dar Es Salaam, Kituo kikuu cha kuhifadhia kumbukumbu za Mawasiliano (Data Centre) kilichopo Kijitonyama, Jengo la Telephone House lililoko jirani na Makao Makuu ya Kampuni Mtaa wa Samora pamoja na Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kilichopo Kimanzichana, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani.