
Mkimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa akiwaongoza Askari wa Kikosi cha Kutulia Ghasia (FFU) kuingia katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha DC baada ya kumaliza mbizo zake halmashauri ya wilaya ya Meru zote zikiwa katika wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2016, George Mbijima akivalishwa Skafu na kijana wa Scout wakati wa kuanza kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika halmashauri ya wilaya ya Arusha DC. |
Mkurugenzi wa New Age Company Ltd,Godson Ngomuo akimwonyesha Samani zinazotengenezwa na kuuzwa na kampuni yake na kusaidia kutengeneza ajira kwa vijana wazawa. |
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2016, George Mbijimaakizungumza na maafisa wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wilaya ya Arumeru wanaotoa elimu dhidi ya Rushwa. |
Vijana wa JKT Oljoro na Scout wakiserebuka kushangilia Mwenge wa Uhuru. |
Moja ya mradi wa maji uliozinduliwa katika Kijiji cha Lekamba. |