Mwananchi FC, Micovilla FC Watoka Sare ya 2-2

Beki wa Mwananchi Masua Mgumu (nyuma) akimdhibiti mchezaji wa Micovilla, wakati wa mchezo huo.

 Beki wa Mwananchi FC, M uhidin Sufiani ‘Sufianimafoto’ (kulia) akimtoka mchezaji wa Micovilla, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar es Salaam asubuhi. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare kwa kufungana mabao 2-2.
 Abdallah Masoud wa Mwananchi (mbele) akimhadaa beki wa Micovilla, wakati wa mchezo huo.
Nahodha wa Mwananchi FC, Majuto Omary akichuana na beki wa Micovilla kuwania mpira wakati wa mcheo huo.