Mwanamke Huyu Ametoweka Kigamboni Dar…!

Bi. Rehema Salum Msambya aliyetoweka.

Bi. Rehema Salum Msambya aliyetoweka.

Bi Rehema Salum Msambya pichani juu amepotea tokea tarehe 16/10/2014 maeneo ya Kigamboni – Kisota karibu na Shule ya Sekondari ya Abdu jumbe.  Siku hiyo alikuwa amevaa Dela na Skintight ya Rangi ya Blue. Bi Rehema ana Matatizo ya Akili. Yeyote atakayemuona anaombwa kutoa taarifa katika kituo cha Polisi Kigamboni au kilicho karibu  au Apige simu namba. 0712 22 77 22, 0753 63 49 67, 0712 70 77 87, 0713 23 52 94