Mwajabu Juma aibuka Miss Kurasini

Miss Kurasini Mwajabu Juma akiwapungia mkono mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano la Miss Kurasini lililofanyika jana kwenye Ukumbi wa Equator Gril Mtoni kwa Azizi Ali, jijini Dar es salaam, kushoto ni mshindi wa pili Naifat Ali na kulia ni mshindi wa tatu Priscar Steven. Shindano la Miss Tanzania mwaka huu linadhaminiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania na hizi ni hatua za awali za mashindano hayo. (Picha kwa Hisani ya Blog ya Full Shangwe)