Mvua za Usiku wa Manane Zilivyofunga Mitaa Tabata Dar

Picha mbalimbali zikionesha namna baadhi ya mitaa ilivyo jaa maji na njia za mitaa kufunikwa kabisa na maji ya mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.

MVUA kubwa ilionyesha usiku wa kuamkia leo zilifunga baadhi ya mitaa kwa kujaa maji jambo ambalo lilileta hofu kwa wananchi na baadhi kuamka na kuangalia usalama wao endapo mvua hizo zitaleta maafa. Mvua hizo zilifunga baadhi ya mitaa eneo la Tabata Bima na kuleta maafa kwa maji kuingia baadhi ya nyumba eneo la Bonde la Mto Msimbazi. Mwandishi wa dev.kisakuzi.com alishuhudia baadhi ya mitaa ikiwa umejaa maji na njia kufunikwa kabisa na maji huku baadhi ya wananchi wakiamka usingizini kuangalia usalama wao.

Maji yaliingia kwenye baadhi ya nyumba za watu wa bonde la Msimbazi jambo ambalo liliwalazimu wakazi hao kuanza kutoa baadhi ya vyombo nje ili visisombwe na maji ya mvua yaliyokuwa yakivamia kwenye nyumba zao. Chini ni picha mbalimbali zikionesha namna baadhi ya mitaa ilivyo jaa maji na njia za mitaa kufunikwa kabisa.

Picha mbalimbali zikionesha namna baadhi ya mitaa ilivyo jaa maji na njia za mitaa kufunikwa kabisa na maji ya mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.Picha mbalimbali zikionesha namna baadhi ya mitaa ilivyo jaa maji na njia za mitaa kufunikwa kabisa na maji ya mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.