
Waendesha mashine ya kukamua alizeti wakimsikiliza fundi bw Mussa P.Mussa

Mratibu wa mradi wa MUVI mkoa wa Ruvuma Bi Neema Munisi akichangia mada katika mafunzo

Kaimu Meneja wa SIDO, Bw. Athur Ndedya, akifunga mafunzo kwa waendesha mashine
(Picha zote na Dunstan Mhilu)