
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha kwa bashasha, Mwekezaji kutoka Nigeria, Aliko Dangote, wa Dangote Industries Ltd alipowasili Ofisi Ndogo ya Makamo Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo, Julai 15, 2012, kwa ajili ya mazungumzo mbalimbali ikiwemo namna mwekezaji huyo anavyoweza kufanyakazi na Chama Cha Mapinduzi katika nyanja kadhaa za kibiashara. Katikati ni Balozi wa Nigeria hapa nchini, Dk. Ishaya Nanjabu.

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Mwekezaji kutoka Nigeria, Aliko Dangote, wa Dangote Industries Ltd alipowasili Ofisi Ndogo ya Makamo Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo, Julai 15, 2012, kwa ajili ya mazungumzo mbalimbali ikiwemo namna mwekezaji huyo anavyoweza kufanyakazi na Chama Cha Mapinduzi katika nyanja kadhaa za kibiashara. Kulia ni Balozi wa Nigeria hapa nchini, Dk. Ishaya Nanjabu