Mtoto wa Miaka 9 Aozeshwa kwa Mzee wa Miaka 60

Mtoto wa miaka tisa (9) jina tunalihifadhi akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Jiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia), jinsi alivyoozeshwa kwa mwanaume mwenye miaka 60 (jina limehifadhiwa) kwa mahari ya Ng'ombe Mmoja na debe 2 za pombe.

Mtoto wa miaka tisa (9) jina tunalihifadhi akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Jiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia), jinsi alivyoozeshwa kwa mwanaume mwenye miaka 60 (jina limehifadhiwa) kwa mahari ya Ng’ombe Mmoja na debe 2 za pombe.

Mtoto wa miaka tisa (9) jina tunalihifadhi akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Jiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia), jinsi alivyoozeshwa kwa mwanaume mwenye miaka 60 (jina limehifadhiwa) kwa mahari ya Ng'ombe Mmoja na debe 2 za pombe. Kushoto ni Mwenyekiti wa Wasaidizi wa Kisheria Wilaya ya Monduli Mtandao wa Wasaidizi wa Kisheria Monduli (MWAWAKIMO) Ibrahim Melita Laizer. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

Mtoto wa miaka tisa (9) jina tunalihifadhi akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Jiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia), jinsi alivyoozeshwa kwa mwanaume mwenye miaka 60 (jina limehifadhiwa) kwa mahari ya Ng’ombe Mmoja na debe 2 za pombe. Kushoto ni Mwenyekiti wa Wasaidizi wa Kisheria Wilaya ya Monduli Mtandao wa Wasaidizi wa Kisheria Monduli (MWAWAKIMO) Ibrahim Melita Laizer. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)