Mtoto Anapochezea Katiba ya Nchi Mvomero…! Mtoto Abuu Juma (2) wa Kijiji cha Manyinga Kata ya Diongoya Mvomero akichezea katiba ya Tanzania hivi karibuni.