Naibu Mtendaji Mkuu PDB Afungua Mkutano wa Wahandisi

Naibu Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Kitengo cha Usimamizi wa Miradi (PDB) kinachosimamia utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Peniel Lyimo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa Mwaka wa wahandisi jijini Dar es Salaam ambapo alisisitizia juu ya wajibu wa wahandisi katika utekelezaji wa miradi ya BRN. (Picha zote na PDB)

Naibu Mtendaji Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Peniel Lyimo akifungua mkutano wa Mwaka wa Wahandishi jijini Dar es Salaam. Katika Mkutano huo wenye kaulimbiu ya Wajibu wa Wahandisi Katika Utekelezaji wa BRN. 