Mtemvu Cup Azindua Mashindano Mwembe Yanga Dar

 Mbunge wa Temeke, Abbas Abbas Mtemvu akishiriki kubeba nyoka na wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Hisia wakati wa uzinduzi huo.

Mbunge wa Temeke, Abbas Abbas Mtemvu akishiriki kubeba nyoka na wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Hisia wakati wa uzinduzi huo.

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (wa pili kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Azimio, Essa Uswege kwa ajili ya mashindano ya Mtemvu Cup yaliyozinduliwa  jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu aliyeanzisha mashindano hayo na kushoto ni Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri.
 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema ambaye alikuwa ni mgeni rasmi katika uzinduzi huo akizungumza na wadau mbalimbali katika hafla hiyo.

 Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu akiwasalimia wachezaji wa timy ya Yombo Vituka kabla ya kuanza kwa mashindano hayo dhidi ya timu Temeke Kata ya 14.
 Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiwaslaimia wachezaji wa timu ya Yombo Vituka.
Mbunge wa Temeke Abass Mtemvu akiwa na viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo. Imeandaliwa na www.habari za jamii.com