September 3, siku ambayo watanzania wa North Carolina watakuwa kwenye shamra shamra za siku nzima. Unashauri wa uitengee ngoma yake siku hii ambayo itaanza asubuhi mpaka usiku wa manane.
Asubuhi 9am mpaka 1pm; tutakuwa na brunch itakayo fanyika La Quinte hotel. Ambayo itahudhuriwa na balozi na maofisa mbalimbali.
Jioni 5pm utakuwa ni usiku wa gala ambao una mambo mengi ndani yake. Usiukose usiku huu wa pekee.
Asya Idarus, mtaalam wa mavazi ya kiafrika, anategemea kutua North Carolina katika usiku huu kwa ajili ya maonyesho ya mavazi. Balozi wa Tanzania Mwanaidi Majaar anaujumbe maalum kwa watanzania wa North carolina.
Source: UTNC