Wapiga magitaa wa Bendi ya Msondo Ngoma wakifulumusha burudani wakati bendi hiyo ilipotumbuiza katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni. Kushoto ni Abdull Ridhiwani na Zahoro Bangwe.
Waimbaji wa Bendi ya Msondo wakitoa burudani kushoto ni Eddo Sanga na Juma Katundu Picha na Burudan blogu.
Waimbaji wa Bendi ya Msondo Ngoma wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kushoto ni Shabani Dede na Eddo Sanga.