Msiba wa Kapteni Komba Wawaliza Wengi

Baadhi ya wanafamilia wa marehemu Kapteni John Komba wakitoa heshima za mwisho katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba, mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Litui wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma.

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal na wake zake Mama Asha na Mama Zakhia wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba, mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba, mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba, mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal akiwafariji wanafamilia ya marehemu Kapteni John Komba, mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Kingunge Ngombale–Mwiru akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba, mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Picha na Othman Michuzi