
Kushoto ni Meneja Matukio na Udhamini wa Benki ya NBC, Rachel Remona akimkabidhi Mwanamke Mjasiliamali aliyeibuka na tuzo ya Mwanakuka, Bi. Tatu Mwenda mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 6. Pichani kati kulia ni Mwenyekiti wa UWF (waandaji wa tuzo hiyo ya Mwanamakuka), Bi. Mwate Madinda sambamba na Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, Dina Marios wakishuhudia tukio hilo adhimu kabisa, katika kuadhimisha siku ya Mwanamke Duniani, iliyofanyika jana, Hafla hiyo imefanyika usiku huu ndani ya Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.

Meneja Matukio na Udhamini wa Benki ya NBC, Rachel Remona (kushoto) akimkabidhi mshindi wa pili wa tuzo ya Mwanakuka, Bi. Mwanne Msekalile mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 2. Pichani kati kulia ni Mwenyekiti wa UWF (waandaji wa tuzo hiyo ya Mwanamakuka), Bi. Mwate Madinda sambamba na Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, Dina Marios wakishuhudia tukio hilo adhimu kabisa, katika kuadhimisha siku ya Mwanamke Duniani, iliyofanyika jana, Hafla hiyo imefanyika usiku huu ndani ya Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.