
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Bwana, Laurean Bwanakunu (kushoto) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Bi.Jenifa Omolo wakibadilishana hati baada ya kusaini makubaliano ya umilikishwaji wa eneo la ardhi, lenye ukubwa wa mita za mraba 400,000 Dar es Salaam, ambayo itatumika kwa ajili ya ujenzi wa Kiwanda cha kuzalishia dawa na vifaa tiba Kibaha mkoani Pwani.
Mkurugenzi Mkuu wa MSD Bwana Laurean Bwanakunu, akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa Kibaha, Bi Jenifa Omolo.
Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa Kibaha, Bi Jenifa Omolo (kulia), akizungumza kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bwana Laurean Bwanakunu (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Bi.Jenifa Omolo (wa pili kulia), wakisaini makubaliano ya umilikishwaji wa eneo la ardhi, lenye ukubwa wa mita za mraba 400,000 Dar es Salaam leo, ambayo itatumika kwa ajili ya ujenzi wa Kiwanda cha kuzalishia dawa na vifaa tiba Kibaha mkoani Pwani. Kulia ni Mwanasheria wa Mji wa Kibaha, Mansuetha Mbena na kushoto ni Mwanasheria wa MSD, Christopher Kamugisha.
Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bwana Laurean Bwanakunu (kushoto) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Bi.Jenifa Omolo wakionesha hati baada ya kusaini makubaliano hayo.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)