Msanii ‘Steve Nyerere’ Atangaza Rasmi Kugombea Ubunge Kinondoni

Msanii Steven Mengele 'Steve Nyerere' akiwasili katika viwanja vya CCM Bwawani, kuongea na wananchi wa eneo hilo, kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni, ikiwa pamoja na kuhamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha. Msanii wa filamu Tanzania Steven Mengele 'Steve Nyerere' na mkewe wakisalimia na wananchi waliojitokeza katika mkutano wake wa kutangaza kuwania jimbo la Kinondoni.

Msanii Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ akiwasili katika viwanja vya CCM Bwawani, kuongea na wananchi wa eneo hilo, kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni, ikiwa pamoja na kuhamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha. Msanii wa filamu Tanzania Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ na mkewe wakisalimia na wananchi waliojitokeza katika mkutano wake wa kutangaza kuwania jimbo la Kinondoni.