Msanii Shetta Asaidia Walemavu Shule ya Uhuru Mchanganyiko

Msanii wa Bongo Fleva na balozi mpya wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta (kulia) akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dar es Salaam, Bi. Anna Mshana (kushoto). Kampuni hiyo ilitembelea na kutoa msaada wa vyakula kwa wanafunzi wa shule hiyo ambayo ina kitengo kinachofundisha wanafunzi wenye ulemavu. Pamoja naye kutoka kushoto ni wafanyakazi wa kampuni hiyo Bi. Elena Liu na Bw. Richard Yan.

Msanii wa Bongo Fleva na balozi mpya wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta (kulia) akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali Mwalimu Mkuu wa
Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dar es Salaam, Bi. Anna Mshana
(kushoto). Kampuni hiyo ilitembelea na kutoa msaada wa vyakula kwa wanafunzi wa
shule hiyo ambayo ina kitengo kinachofundisha wanafunzi wenye ulemavu. Pamoja
naye kutoka kushoto ni wafanyakazi wa kampuni hiyo Bi. Elena Liu na Bw. Richard
Yan.

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania,
Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali Mwalimu Mkuu
wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dar es Salaam, Bi. Anna Mshana
(kushoto). Kampuni hiyo ilitembelea na kutoa msaada wa vyakula kwa wanafunzi wa
shule hiyo ambayo ina kitengo kinachofundisha wanafunzi wenye ulemavu.
Msanii wa Bongo Flava na balozi mpya wa kampuni ya
StarTimes Tanzania, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati kampuni hiyo ilipotembelea na kutoa
msaada wa vaykula kwa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dar es
Salaam.