
Mohamedi Nice 'Mtunisi' akiwasihi Wanafunzi wa Shule ya Buguruni Viziwi wakae kwa mstari kwa ajili ya kuwagawia zawadi za bisckuti na juisi alizowapelekea watoto hawo jana.

Mohamedi Nice 'Mtunisi' akimkabidhi boksi la biskuti kwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Buguruni Viziwa, Chacha Mwita kwa niaba ya wanafunzi wenzake jana (Picha na Super 'D' Boxing Coach)