Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza katika mkutano wa Baraza Kivuli la Umoja wa Mataifa kuhusu Vijana kutoka nchi nane Afrika uliofungwa jana kwenye makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha.
Mshiriki kutoka jijini Dar es Salaam, Lilian Kimani akipokea cheti chake baada ya kutambuliwa kufanya vizuri kama Mkuu wa Itifaki kwenye mkutano huo.
Ushiriki wa vijana wa kike ulipewa umuhimu wa kipekee katika mkutano huo na walionesha uwezo wao katika kujadili masuala mbalimbali yakiwemo ajira, usalama na amani na mabadiliko ya tabia nchi.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez akimkabidhi mmoja wa vijana cheti cha kutambua mchango wake.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez akimkabidhi mmoja wa vijana cheti cha kutambua mchango wake.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiwa na washindi waliofanya vizuri katika matumizi ya mitandao.
Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa(UN)Hoyce Temu.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini,Alvaro Rodriguez(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na vijana kutoka nje ya nchi waliohudhuria mkutano huo.
Mratibu wa Kongamano hilo Marx Chocha akizungumza jambo kwenye mkutano huo.
Mshiriki kutoka Zanzibar,Asma Omar akifatilia kwa makini.