Mpango wa maendeleo wa miaka 5 wakamilika

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akishiriki kuimba wimbo wa Tanzania, Tanzania nakupenda jana mjini Dodoma kabla ya kutoa taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa rasimu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ( 2011/12 - 2015/16) . wengine ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) na kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda.

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akilihutubia taifa jana mjini Dodoma kabla ya kutoa taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa rasimu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ( 2011/12 - 2015/16) . wengine ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) na kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda. (Picha zote na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma)