Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake Ulivyonufaisha…!

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng'i Issa akizungumza jambo na mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.  Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena. 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng’i Issa akizungumza jambo na mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.  Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena.

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng’i Issa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali, Jane Baseka aliyenufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena. 

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng’i Issa akizungumza jambo na mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.  Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena. 

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng’i Issa akisalimiana na mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.  Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena.

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng’i Issa akipata  maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), Deborah Kiunsi alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.  Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Mwenyekiti TGT, Epeineto Toroka.

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng’i Issa akipata  maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), Deborah Kiunsi alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.  Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Pamoja naye ni Mwenyekiti TGT, Epeineto Toroka na Naibu Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania, Hinke Nauta.

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng’i Issa akipata  maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kulia ni Meneja Mradi wa MKUBWA, Wanke Kinyau.