Mpambano wa Sadiki Momba na Amos Mwamakula Waiva

Bondia Sadiki Momba kushoto akitunishiana misuli na Amos Mwamakula baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Taifa PST utakaofanyika kesho Jumapili katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es Salaam.

Bondia Habibu Pengo kushoto akitunishiana misuli na Iddy Mkwera baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofa Nyika Manzese Dar es Salaam siku ya Jumapili.