Mourinho, Guardiola Wanavyopishana Katika Jiji la Manchester

a

Baada ya Kutambulishwa lasmi Kocha Pep Guardiola katika klabu yake mpya ya Manchester City baada ya kuhamia kutoka Bayern Munich ya Ujerumani, aliyojiunga nayo mwaka 2013 kutoka Barcelona ya Hispania naye Jose Mourinho aanza mikakati ya Kuunda timu yake

Jose Mourinho alitu katiaka jiji la Manchester mwishoni mwa wiki na kuanza lasmi kazi yake akiwa kama meneja mpya wa mashetani wekundu

Special one alifikia kwenye hoteli ya Lowyr kabla ya asubuhi ya leo kuondoka huku tayari klabu hiyo imewasainisa wachezaji watatu wapya
Zlatan Ibrahimovic, Henrikh Mkhitaryan na Eric Bailly

c

Jose Mourinho akiondoka katika Lowry Hotel akiwa kama meneja mpya wa Manchester United

guadiola

meneja mpya wa Manchester City Pep Guardiola akikaribishwa rasmi kwa kuanza kazi