Mourinho Aanza Kuibomoa Man United, Mata Asepa

mata

Kiungo wa Manchester United Juan Mata, 28, anakaribia kujiunga na Everton baada ya tetesi kusema Zlatan Ibrahimovic, 34, amepewa namba ya jezi yake

Manchester United wanajiandaa kumsajili mshambuliaji wa Pachuca, Hirving Lozano, 20, atakapotoka kwenye michuano ya Olimpiki akiichezea timu yake ya taifa ya Mexico

Mata aliuzwa na Mourinho akiwa Chelsea akisema hana nafasi na sasa wamekutana tena kwa mashetani wekundu hivyo bado inaonesha sio chaguo lake tena na kuanza kutafuta mbadala wake kwa namna yoyote