Mlalakuwa Mto Wetu Afya Yetu!

20140517-204943.jpg
Bango la kuhamasisha usafi katika Mto wa Mlalakuwa, ambalo lilibeba kauli mbiu isemayo “Mlalakuwa Mto Wetu, Afya Yetu” kama lilivyonaswa na thehabari leo.

20140517-205243.jpg
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, akizungumza chini ya daraja la Kawe Mlalakuwa kwenye kampeni hiyo ya usafi.

20140517-205723.jpg
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Mh. Meck Sadiq nae alikuwepo katika kampeni hiyo muhimu ya usafi kwa ajili ya afya ya Jamii

20140517-205937.jpg
Wakazi wa Kawe na Mikocheni nao walishiriki katika zoezi hilo.

20140517-210210.jpg
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Eng. Mussa Natty nae alikuwepo.

20140517-210542.jpg
Usafi ukiendelea

20140517-210628.jpg
Usafi

20140517-210726.jpg

20140517-210742.jpg

20140517-210752.jpg

20140517-210806.jpg

20140517-210832.jpg

Picha Zote na Mpigapicha Wetu Maalum wa Thehabari, Dar