
Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga (mwenye baibui), Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyevaa hijabu akiwa na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Teule ya Muheza wakati alipofanya ziara kulia ni Mganga Mfawizi wa Hospitali hiyo Malahiyo Rajabu na anayefuata ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Muheza.
Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyekaa kulia kuzungumza na watumishi wa Hospitali Teule ya Muheza |
Mganga Mfawizi wa Hospitali Teule ya Muheza Malahiyo Rajabu akizungumza jambo kwa Mkuu wa wilaya ya
Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye hayupo pichani wakati alipofanya ziara ya kuitembelea hospitali hiyo.
Mganga Mfawizi wa Hospitali Teule ya Muheza Malahiyo Rajabu kulia akitoa ufafunuzi kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto katikati ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza wakati mkuu huyo wa wilaya alipofanya ziara kwenye hospitali hiyo.
Kulia ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali Teule ya Muheza, Malahiyo Rajabu akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo kuhusua namna wanavyofanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ambaye alifanya ziara ya kushtukiza ya kuitembelea hospitali hiyo Habari kwa Hisani ya Blog ya Tanga Raha.